Rais wa Ufaransa Nicolas Sarkozy ameshindwa na mpinzani wake Fracois Hollande wa chama cha Socialist katika raundi ya kwanza ingawa kwa tofauti ndogo kati ya 28% na 26.9% alizopata Sarkozy. Hivyo, mchuano utaendelea kwenye awamu ya pili ambapo uwezekano wa Sarkozy kuzama zaidi ni mkubwa hapa Mei 6. Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA.
No comments:
Post a Comment