How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Monday 23 April 2012

Watawala wetu wachafu wanavyopenda utukufu!

Image Detail
Ethel Mutharika Mausoleum Thylo Malawi
They’re dirty like pigs
But they want to be remembered as saints
They sank their people in poverty
Yet they live like millionaires
What a pity!
It’s pity to have such such idiots.

They are called honorable
For whatever deplorable
Honourable!
It is horrible.
What for?

Venal as they are
Rat like in their deeds
Hiding every thing
Even that they don’t need
Money in sacks,
We saw it in Malawi
Bye Mr. Moneybags
Go thee
Everything has an end.
Why haven’t you taken your wealth?
Who will eat for you on earth?
Isn’t this being uncouth?
Guys,
With all those PhDs
You still act like goons!


Jiulize ni mamilioni mangapi ya kwacha hata dola yameteketezwa kwenye kujenga jumba hili ambamo amezikwa rais wa zamani wa Malawi Bingu wa Mutharika? Zidi kujiuliza: ni pesa kiasi gani imeshaunguzwa nchini Kenya kuhifadhi mwili wa rais wa kwanza wa nchi hiyo Mzee Jomo Kenyatta tangu afariki mwaka 1978? Jiulize ni pesa kiasi gani ilteketea kwenye kujenga  mji wa Gbadolite kijijini kwa mwizi wa zamani wa DRC Joseph Desire Mobutu au kanisa kubwa (kuliko la Mt. Petro la Roma) huko Yamoussoukro kijini mwa rais wa kwanza wa nchi ya Ivory Coast , Felix-Houphet Boigny na upuuzi mwingine mwingi uliotapakaa barani Afrika? Hakika watawala wetu wachafu wanapenda utukufu kwa utukutu wao na ujambazi wao.
Image Detail
Baadhi ya majengo katika kijiji cha Gbadolite huko DRC yaliyojengwa na Mobutu na yasikaliwe na watu.

Image DetailKKanisa kubwa la Yamoussoukro huko Ivory Coast.

No comments: