How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Monday 23 April 2012

What did Bingu conquer so as to be called Ngwazi?


Malawi ni nchi iliyopata bahati mbaya katika historia yake. Imla wake wa kwanza Hastings Kamuzu Banda alipendelea sana kuitwa Ngwazi au Conqueror. Bakili Muluzi pamoja na madudu yake, hakuwahi kutaka wala kukubali kuitwa Ngwazi. Inashangaza kwa mtu mwenye PhD ya uchumi na Profesa kushindwa kutambua kuwa alikuwa mdemokrasia lakini siyo conqueror. 

No comments: